BEI NA SOKO LA MAZAO MBALIMBALI LEO 11/11/2024


RIPOTI YA SOKO LA ZAO LA MAHINDI KIBAIGWA


Bei ya mahindi kwa sasa ni TZS ....660.../kilo (kwa jumla)
Wakati wa msimu kuanzia mwezi .....6.....hadi .....11.. mahindi huuzwa kwa TZS .....450-500.../Kg (kwa jumla)
Mahindi huadimika wilayani hapa kuanzia .......mwezi wa.12 hadi 4..... kila mwaka ambapo bei ya mahindi hupanda na kufikia TZS .....1200..../Kg (kwa jumla).

....................................................................................................................................................

RIPOTI YA SOKO LA ZAO LA MBAAZI KIBAIGWA

Bei ya mbaazi kwa sasa ni TZS .....1800../kilo (kwa jumla)
Wakati wa msimu kuanzia mwezi ........7....hadi .....11... mbaaz huuzwa kwa TZS ....1500..../Kg (kwa jumla)
Mbaazi huadimika wilayani hapa kuanzia ......12 hadi 6....... kila mwaka ambapo bei ya mbaazi hupanda na kufikia TZS .....3000..../Kg (kwa jumla).

...........................................................................................................................................................

RIPOTI YA SOKO LA ZAO LA MTAMA MWEKUNDU KIBAIGWA

Bei ya mtama kwa sasa ni TZS .....700../kilo (kwa jumla)
Wakati wa msimu kuanzia mwezi .....6.......hadi ...11..... mtama huuzwa kwa TZS ....400..../Kg (kwa jumla)
Mtamaa huadimika wilayani hapa kuanzia .........12 hadi 5.... kila mwaka ambapo bei ya mtama hupanda na kufikia TZS .....700..../Kg (kwa jumla).

....................................................................................................................................................

RIPOTI YA SOKO LA KIBAIGWA KARANGA
Bei ya Karanga Kwa Sasa ni Tsh 2400-2500../kg(Kwa jumla)wakati Wa msimu yaani mwezi Wa 4 Hadi mwezi Wa 7 huwa inakuwa kati ya1400-1600../kg.

Karanga huwa inaadimika Kati ya mwezi Wa 9 Hadi 2.
Ambapo hufikia bei ya 3500../kg( Kwa Ujumla).

..................................................................................................................................................

RIPOTI YA SOKO LA KIBAIGWA
Bei ya Akizeti Kwa Sasa ni tsh 1600../kg(Kwa Ujumla)
Wakati Wa msimu yaani mwezi Wa 5 Hadi Wa 8 huwa inakuwa kati ya TZS 700 Hadi 900/kg
Akizeti huadimika mwezi kumi kuendelea, ambapo bei yake hufikia Hadi wastani Wa 1900/kg(Kwa jumla).

..................................................................................

Mazao yanayopatikana Kwa wingi Kibaigwa NI
1.Mahindi
2.Alizeti
3.Karanga
4.Mbaazi
5.Mtama

JE UNGEHITAJI KUNUNUA AU KUUZA MAZAO YA KILIMO ? WhatsApp :+255 757 757 968

Endelea kufuatilia hapa ripoti za bei na masoko ya mazao ya kilimo na mifugo kadri zinavyoletwa hapa kutoka maeneo mbalimbali.

AJE-FARMS;MASHAMBA YANAYOTEMBEA

Back to blog

Leave a comment