MDAHALO WETU WA LEO- Telegram Livestream

MDAHALO WETU WA LEO- Telegram Livestream

Leo tarehe 8/11/2024 kuanzia saa 10:00 -11:00 jioni tutakuwa kwenye mdahalo wetu mubashara kupitia Telegram (Telegram Livestream) katika kipindi cha KILIMO MEZANI tukijadili na kujifunza juu ya "HATUA  MUHIMU NA MASHARTI YA KUFUATA ILI KUUZA MAZAO YA KILIMO NA MIFUGO KATIKA MASOKO YA NJE YA NCHI".

MTOA MADA: Mr.Safari Fungo - ambaye ni mtaalamu mbobefu katika ubora na viwango,masoko ya nje na ndani,uendeshaji na usimamizi wa miradi akiwa mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 15 katika mashirika ya umma na binafsi ikiwemo EAC,SADC,ARSO,ISO na IEC.

Washiriki watakuwa na nafasi ya kujifunza na kuuliza maswali na kujibiwa na mtaalamu huyu wa masoko ya kimataifa.

ILI KUSHIRIKI: Tuma ombi lako kwa WhatsApp/Telegram:- 0757 757 968.Nafasi ni chache! 

Mr.Safari Fungo (Short bio):-

Safari is an astute International Trade and Quality Infrastructure Specialist with working experience at the National, Regional, and International levels, offering around 15 years of the breadth of knowledge and experience in Research, Trade Facilitation and Policy, Market Access, International Trade, Regional Integration, Standardization, Quality Infrastructure, Technical Regulation, Strategic Management and Conformity Assessment with strong knowledge in Project Management, Monitoring and Evaluation. Demonstrable experience in Quantitative and Qualitative Data Collection, Market Analysis, Trade Flow Analysis and Statistical Analysis. Hands-on experience in working and coordinating with a diverse range of stakeholders both in the public and private sectors, including Regional and International Bodies such as EAC, SADC, ARSO, ISO, and IEC. Conversant with regional trade context and integration process gained through active involvement in the Technical Assistance to SMEs, Importers and Exporters on accessing regional markets. Demonstrated ability to organize and lead project-wide activities, including negotiating technical priorities and creating evidence and tools to support the project and program implementation. Highly motivated professional with excellent communication, interpersonal skills, and team management experience. Combine excellent organization acumen to manage and coordinate tasks and teams to deliver results.

Back to blog

Leave a comment