KITABU CHA KILIMO CHA MIGOMBA
KITABU CHA KILIMO CHA MIGOMBA
Kupitia kitabu hiki utajifunza mbinu bora za kilimo cha MIGOMBA.Ni kitabu kinachoelezea juu ya bajeti,kwa nini ulime migomba,hali ya hewa inayofaa kwa kilimo cha migomba,utunzaji wa shamba la migomba,jinsi ya kukabiliana na magonjwa na changamoto za zao la migomba ,masoko na mchanganuo wote wa mapato na matumizi katika uwekezaji wako kilimo biashara cha migomba .Ni kitabu chenye kutoa ufafanuzi wa kina wa kila hatua kuanzia uchaguzi na uandaaji wa shamba,uchimbaji wa mashimo,uwekaji wa mbolea,upandaji wa miche,utunzaji na masoko.
Ukinunua kitabu hiki utaunganishwa kwenye kundi la WhatsApp la KILIMO CHA MIGOMBA ambapo utaweza kukutana na mwandishi wa kitabu hiki na hivyo kupata fursa ya kumuuliza maswali moja kwa moja.Kupitia kundi hili la WhatsApp pia utakutana na wakulima wengine wazoefu na wataalamu wengine wengi na hivyo kuweza kujifunza kupitia uzoefu wao.Kununua kitabu hiki ni tiketi ya kuingia kwenye mtandao mpana wa kilimo biashara cha MIGOMBA !
PATA NAKALA YAKO LEO NA UBADILISHE MAISHA YAKO !