KITABU CHA KILIMO CHA MPUNGA
KITABU CHA KILIMO CHA MPUNGA
Kupitia kitabu hiki utajifunza mbinu bora za kilimo cha MPUNGA.Ni kitabu kinachoelezea juu ya bajeti,kwa nini ulime mpunga,hali ya hewa inayofaa kwa kilimo cha mpunga,utunzaji wa shamba la mpunga,jinsi ya kukabiliana na magonjwa na changamoto za zao la mpunga ,masoko na mchanganuo wote wa mapato na matumizi katika uwekezaji wako kilimo biashara cha mpunga .Ni kitabu chenye kutoa ufafanuzi wa kina wa kila hatua kuanzia uchaguzi na uandaaji wa shamba,usiaji wa mbegu, upandaji wa miche,utunzaji wa shamba na masoko.
Ukinunua kitabu hiki utaunganishwa kwenye kundi la WhatsApp la KILIMO CHA MPUNGA ambapo utaweza kukutana na mwandishi wa kitabu hiki na hivyo kupata fursa ya kumuuliza maswali moja kwa moja.Kupitia kundi hili la WhatsApp pia utakutana na wakulima wengine wazoefu na wanaoanza na hivyo kuweza kujifunza kupitia uzoefu wao.Kununua kitabu hiki ni tiketi ya kuingia kwenye mtandao mpana wa kilimo biashara cha MPUNGA!
PATA NAKALA YAKO LEO !