KITABU CHA KILIMO CHA NYANYA KWA MTAJI MDOGO
KITABU CHA KILIMO CHA NYANYA KWA MTAJI MDOGO
Kupitia kitabu hiki utajifunza mbinu bora za kilimo cha nyanya/tungule.Ni kitabu kinachoelezea juu ya bajeti,kwa nini ulime nyanya,hali ya hewa inayofaa kwa kilimo cha chikichi,utunzaji wa shamba la nyanya,jinsi ya kukabiliana na magonjwa na changamoto za zao la nyanya ,masoko na mchanganuo wote wa mapato na matumizi katika uwekezaji wako kilimo biashara cha chikichi .Ni kitabu chenye kutoa ufafanuzi wa kina wa kila hatua kuanzia uchaguzi na uandaaji wa shamba,uchimbaji wa mashimo,uwekaji wa mbolea,upandaji wa miche,utunzaji na masoko.
Ukinunua kitabu hiki utaunganishwa kwenye kundi la WhatsApp la KILIMO CHA NYANYA ambapo utaweza kukutana na mwandishi wa kitabu hiki na hivyo kupata fursa ya kumuuliza maswali moja kwa moja.Kupitia kundi hili la WhatsApp pia utakutana na wakulima wengine wazoefu na wanaoanza na hivyo kuweza kujifunza kupitia uzoefu wao.Kununua kitabu hiki ni tiketi ya kuingia kwenye mtandao mpana wa kilimo biashara cha NYANYA!
PATA NAKALA YAKO LEO !