Habari/News

MAPINDUZI YAJA ! MASHAMBA DARASA 7 YASAJILIWA NCHINI  TANZANIA HADI 11 NOV 2024

MAPINDUZI YAJA ! MASHAMBA DARASA 7 YASAJILIWA N...

Shamba Darasa ni mradi unaotarajia kuweka takwimu halisi za wakulima na wafugaji maeneo mbalimbali zikionesha ukubwa wa mashamba yao,miradi iliyopo ,uwezo wao wa kuzalisha,kalenda zao za kuzalisha,fursa na changamoto zilizopo...

MASHUDU YA ALIZETI YANAPATIKANA KONGWA

MASHUDU YA ALIZETI YANAPATIKANA KONGWA

Mashudu ya alizeti yanapatikana Kongwa kwa bei ya TZS 550/Kilo . Bei hii ni ya ofa kwa mwezi huu. Kwa mawasiliano zaidi WhatsApp:0757757968.

SOKO LA ZAO LA PARETO LAPETA KIMATAIFA

SOKO LA ZAO LA PARETO LAPETA KIMATAIFA

Katika kikao kilichofanyika Dodoma tarehe 07/11/2024 Mkurugenzi wa Zao la Pareto Nchini Bw.Lucas Ayo alisema bei ya zao la pareto limepanda toka shilingi 3,500 hadi shilingi 3,700 itakayoanza kutumika kuanzia...

MASOKO YA NAFAKA YAPETA ! MAHARAGE YAELEKEA KUSHUKA

MASOKO YA NAFAKA YAPETA ! MAHARAGE YAELEKEA KUS...

Leo 8/11/2024 kuelekea mwisho wa mwaka mazao ya nafaka bei hupanda na kufikia kiwango cha juu kabisa mwezi Desemba kila mwaka.Hivyo kama uliweka mazao yako stoo huu ndio muda wa...

MDAHALO WETU WA LEO- Telegram Livestream

Leo tutakuwa Live katika mdahalo juu ya "HATUA MUHIMU NA MASHARTI YA KUFUATA ILI KUWEZA KUUZA MAZAO YA KILIMO NA MIFUGO KATIKA MASOKO NJE YA NCHI" Mtoa mada:Mr.Safari Fungo ambaye...

Nyanya Yaendelea Kudoda Maeneo Mengi Nchini !

Hadi kufikia leo tarehe 8/11//2024 soko la nyanya bado haliridhishi kabisa maeneo mengi nchini tofauti na matarajio ya walio wengi hasa kwa Mkoa wa Geita ambapo Wilayani Chato nyanya bado...